Uzi unasikitisha sana mkuu 😎Kipi kikusikitishacho humu ?
Naunga mkono hoja, Tafadhali usiComment tena hapa kwa Leo na naomba comment yangu iwe ya mwisho nifunge mageti humuUzi unasikitisha sana mkuu 😎
Tukae macho kwenye uzi wetu na tusicomment...ungeondoka nao mkuuNaunga mkono hoja, Tafadhali usiComment tena hapa kwa Leo na naomba comment yangu iwe ya mwisho nifunge mageti humu
Upewe kesi ya uhainiTukae macho kwenye uzi wetu na tusicomment...ungeondoka nao mkuu
Kwani na huku wapo mzee?Upewe kesi ya uhaini
Usisahau kubeba zana yoyote ya kujitetea mkuu,Ni usiku huu.02:51 am
Niamke sasa nikafue
Hii ndiyo comment ya kwanza kubadili mtazamo na gia ya uzi huu.Leta khabari.
Anakua na umuhimu kiasi hicho mpaka unapoteza muda wako kumuandikia matusi PM?Dah, imeniuma sana. Atakua alijaa kwenye mfumo. Kuna watu ukigombana nao wanakimbilia polisi. Fastaa wanakureport unakula ban.
Mtu akikukera, unamuandikia matusi PM. Vya PM haviendi kwa Mods.