unatumia simu ya aina gani?, na unatumia app mpya au ya zamani au una browserSijakiona nahitaji maelekezo 😂
Natumia Vivo , nipo kwenye browser app mpya niliifuta sababu ngumu na muundo niliona hauvutii utadhani sio Jf 😀unatumia simu ya aina gani?, na unatumia app mpya au ya zamani au una browser
pole, sasa haya mambo tunayapata kwenye app mpyaNatumia Vivo , nipo kwenye browser app mpya niliifuta sababu ngumu na muundo niliona hauvutii utadhani sio Jf 😀
Asante , hongera kwa kuweza kutumia app mpyapole, sasa haya mambo tunayapata kwenye app mpya
Kwishaa Tayari.....!!mi nalal ila kuweni makini na watu hawan misimamo thabiti, wanaruka ruka kama kuku alokatwa kichwa
In shaa allahKesho In Shaa Allaah siendi shambani , Leo nakesha humu
Pongezi ziende kwa Serikali6 na dk 43... Tanesco washafanya yao
hahahaha huwezi pita hivi hivi bila hongera zao kwa kazi iliyotukuka...Pongezi ziende kwa Serikali
Bu wiyeom alibaki ametoa machoo tu kampa wine halafu kamuweka mari target na vibuyu master archer akampa mambo.🤣🤣#Focusing modeView attachment 3691474
Mpaka wanamshawishi Bu wiyeom kukubali ilikuwa mtiti , vipande vile nilivipenda sana 😂Bu wiyeom alibaki ametoa machoo tu kampa wine halafu kamuweka mari target na vibuyu master archer akampa mambo.🤣🤣