Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,202
- 98,322
Nazijua zote ntakuletea jopo mkuu hakika utanipandisha cheošUtatufaa sana kwenye kikosi cha kupambana na majangili na wala mijani kwakuwa unajua mbinu zao zote
Nazijua zote ntakuletea jopo mkuu hakika utanipandisha cheošUtatufaa sana kwenye kikosi cha kupambana na majangili na wala mijani kwakuwa unajua mbinu zao zote
Jiangalie kwenye kioo mnafananaUmenifananisha
Una bahati leo nilikuwa nakukanda!!Nichi...
Alitaka tu kushindana na wewe au sioWin kanigeza tu
š¤£š¤£š¤£š¤š¤š¤šš¤āļøāļøUna bahati leo nilikuwa nakukanda!!
Tokea 2023 nalamba vumbi tu š¤£Ninavyojua mimi wewe ndio unaifukuzia hiyo pisi
Na nnasikia unajihusisha na id moja si rafiki, kama ni wewe anza kupunguza mazoea kabisa!š¤£š¤£š¤£š¤š¤š¤šš¤āļøāļø
Kamanda mgeni ashafika na hutuambii au uliogopa kwamba utapangiwa lindo mapema iwezekanavyoMgeni ashafika ana wiki sasa
Ah wapi, nipe nivae tuone, vinaweza vikanibanašTafazari bwana hivi viatu vikubwa na vizito..havijaribiki na vijana
Sipo hivyo na I'd angu ni hii hii moya...sipunguzi mazoea niko na Wewe š¤šāļøšŖāļø SeranNa nnasikia unajihusisha na id moja si rafiki, kama ni wewe anza kupunguza mazoea kabisa!
Mzee wangu naona Sasa umemaliza ChuoAh wapi, nipe nivae tuone, vinaweza vikanibanaš
Safi sana,kuanzia leo ushakuwa kamanda wa kikosi rasmiNazijua zote ntakuletea jopo mkuu hakika utanipandisha cheoš
Seroo mtu wa ajabu sana.Hivi Seran ni kweli unakula mjani?
AsanteKamanda mgeni ashafika na hutuambii au uliogopa kwamba utapangiwa lindo mapema iwezekanavyo
Hongera sana kamanda
Anajikuta mteule yupo pembeni kwa bwanaš¤£š¤£Seroo mtu wa ajabu sana.
Anakula majani kama mbuzi ila anaweza akakuhubiria injili mpaka ukaona Yesu huyu hapa.
Ndio master nipo nakaanga chipsi.Mzee wangu naona Sasa umemaliza Chuo