JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Upo sahihi kabisa,ni kukubaliana na hali halisi halafu maisha yanasonga mbele
Yes maisha yanaweza yasikupe unachokitaka ila unaweza kukataa negative energy ili uwe na furaha

EX: today I'm so excited 😊
So nikiona kuna mtu au kitu kinataka kuharibu mood yangu na escape ili kutunza huu wakati mzuri nilionao
 
Back
Top Bottom