0250 copy0236 hrs take cover
Ngoja nidownload ila nina uhakika nitakuchakaza vibaya mno😀😀Tunaweza kucheza match kadhaa?
hahahahaha, nimegundua humu watu wana stress sana na depresion ,watu hawako sawaMnavyompa bichwa sasa
Kabisahahahahaha, nimegundua humu watu wana stress sana na depresion ,watu hawako sawa
nawaonea huruma sana, sasa sijui nini aisee, unakuta mtu ana panic vitu vidogo tuKabisa
Mimi nashangaa! Eti mtu akipewa dislike roho inamuumanawaonea huruma sana, sasa sijui nini aisee, unakuta mtu ana panic vitu vidogo tu
hahahahaha, huo sasa ni uchiziMimi nashangaa! Eti mtu akipewa dislike roho inamuuma
🤣🤣🤣,wanataka kusikiliza mziki au wao wenyewe ndio wanakuwa mzikijirani chumba cha pili wametembelew na mgeni, wanakaa chumba na seble sasa sijui walivyo lala huko ndani ila nimeskia anaconnet bluetooth saivi sijui anataka kufanya nini yeye na mkewe mbele ya mgeni🤭😅
mziki saa sita usiku jamni😅🤣🤣🤣,wanataka kusikiliza mziki au wao wenyewe ndio wanakuwa mziki
Usiniambie uliendelea kuwasikilizamziki saa sita usiku jamni😅
sikwenda ila si unaelewa nyumba za uswazi zilivyo pangana, kwahiyo nilisikiliza mziki mpka nikapitiwa na usingizi😄Usiniambie uliendelea kuwasikiliza
una vijimaneno na wew alaaaah😅😅😅mshamba_hachekwi huyu mpuuzi wa dislikes yupo tena hewani,mwambie sisi tunapenda watoto wazur ,hatuvutiwi na wanaume wenzetu
Hauku jifanyia selfii 🤣🤣sikwenda ila si unaelewa nyumba za uswazi zilivyo pangana, kwahiyo nilisikiliza mziki mpka nikapitiwa na usingizi😄
hapan mi siwezi kujifanya😎Hauku jifanyia selfish 🤣🤣
Huyu kama hatufuti bwana ni nini sasa anataka,na nitamkera mpaka afurahi daadekiuna vijimaneno na wew alaaaah😅😅😅