Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,872
- 28,116
Huyu jamaa mpuuzi sana ujueOya mwanangu PSL god unachofanya sio unyama wala nini.
Huyu jamaa mpuuzi sana ujueOya mwanangu PSL god unachofanya sio unyama wala nini.
Tahila hilo tupia ignore hukoOya mwanangu PSL god unachofanya sio unyama wala nini.
Imekuwa too much now,ila asije kuwa ni de Gunner🤣🤣Tahila hilo tupia ignore huko
Sijui ana mimba changa muda wote anatapika 😆
Ukute ni yeye ujue 😆😆Imekuwa too much now,ila asije kuwa ni de Gunner🤣🤣
Ila binafsi namkubali sana,ila ndio hivyo angejitahidi kuacha ujinga angekuwa poa sana,hope atakuja kubadilika one dayUkute ni yeye ujue 😆😆
Maana anapenda attention yule kijana uwiiii
Atapigwa ban punde si punde.Tahila hilo tupia ignore huko
Sijui ana mimba changa muda wote anatapika 😆
ExactlyIla binafsi namkubali sana,ila ndio hivyo angejitahidi kuacha ujinga angekuwa poa sana,hope atakuja kubadilika one day
Apigwe ban kwa kutapika kwenye comment za wadau au 😆Atapigwa ban punde si punde.
Ana deserve it,anaboa sana,hatukatai dislike lkn hapana too muchAtapigwa ban punde si punde.
Anafanya kusudi yule 😄Apigwe ban kwa kutapika kwenye comment za wadau au 😆
Nadhan he went through a lot ndio maana ameathirika sanaExactly
Hatunzi vitu moyoni
Nadhani akipata counselling
Atakua mtu mzuri
Yes au pengine ni mja mzito miezi ya mwanzoniAnafanya kusudi yule 😄
Noma life linaweza kukuchezesha sometimes ni kukubali tu bila kujiwekea presha kubwaNadhan he went through a lot ndio maana ameathirika sana
I like his writing, swag kibao huwa naonjoy post Zake sana
Upo sahihi kabisa,ni kukubaliana na hali halisi halafu maisha yanasonga mbeleNoma life linaweza kukuchezesha sometimes ni kukubali tu bila kujiwekea presha kubwa
Unaambiwa baada ya kumpiga madongo kanimwagia madislikes sio poa🤣🤣🤣mwaga matapishi kama dragon PSL god