JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

hiyo wa kishua umefanya tresor aamini nina maisha mpka kaninyima kazi😪,, sitaki tena litumike
Huyo naye atakuwa na hila Zake tu bwana,kwani wakishua hawezi kufanya kazi?

Aisee nishazoea hilo jina hata sijui ntaiachaje,na huko pm nahisi kuna text kama 200 zimepanga foleni daadeki
 
Huyo naye atakuwa na hila Zale tu bwana,kwani wakishua hawezi kufanya kazi?

Aisee nishazoea hilo jina hata sijui ntaiachaje,na huko pm nahisi kuna text kama 200 zimepanga foleni daadeki
shangaa na wew, wakati mimi ni muuzaji Mzuri wa matikiti na magimbi😅😅😅

hakuna chochote kwanza siitumii mda maana huwa inastuck
 
Back
Top Bottom