mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,696
- 80,741
Kwanini sasa, hutaki kuwa pisi kali?kunata sawa ila kuwa teketeke hapan kwa kweli
Kwanini sasa, hutaki kuwa pisi kali?kunata sawa ila kuwa teketeke hapan kwa kweli
Labda nirogweenyewe na mimi nilitaka kushangaa asee
kumbe pisi kali ndo teketeke?Kwanini sasa, hutaki kuwa pisi kali?
wanaanzaje kukuroga sasa, tutakemea mapepo kwa herufi kubwaLabda nirogwe
Ebu tuone.......kumbe pisi kali ndo teketeke?
uumbaji ungekua unarudiwa ningesema yessss ila haurudiwi nimeamua kubaki hivi hivi
eh unataka kuona nini......Ebu tuone.......
Kabisa na uanze tu maana huyu mshamba simuelewi kabisawanaanzaje kukuroga sasa, tutakemea mapepo kwa herufi kubwa
Hivyo ulivyobakieh unataka kuona nini......
huyo hata asikutishe yupo kiganjani tayaliKabisa na uanze tu maana huyu mshamba simuelewi kabisa
fafanuaHivyo ulivyobaki
Kwisha habari yakehuyo hata asikutishe yupo kiganjani tayali
si ndio😄Kwisha habari yake
Ukinionyesha nitaweza kufafanua zaidifafanua
Ngozi inang'aa. Huna sugu vidoleni. Hujakomaa magotini wala viwikoni. Macho malegevu yanaita ita. Mwendo wa madaha kama twiga.kumbe pisi kali ndo teketeke?
uumbaji ungekua unarudiwa ningesema yessss ila haurudiwi nimeamua kubaki hivi hivi
Kabisa kijana amekwishaasi ndio😄
dadeq, naona ushaanza kunitukana broooohNgozi inang'aa. Huna sugu vidoleni. Hujakomaa magotini wala viwikoni. Macho malegevu yanaita ita. Mwendo wa madaha kama twiga.
Mtoto msupa kabisa, mtoto unabonyea.
Hizi sifa zoote ni za win-one 🙆♂️Ngozi inang'aa. Huna sugu vidoleni. Hujakomaa magotini wala viwikoni. Macho malegevu yanaita ita. Mwendo wa madaha kama twiga.
Mtoto msupa kabisa, mtoto unabonyea.
tayali jionee vilivyo bakiUkinionyesha nitaweza kufafanua zaidi
Ebu tuone....
Tayari wapi sasa?tayali jionee vilivyo baki