win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,570
- 36,097
mimi na wenzangu tulokua nao kwenye birthday party tuliienjoy, keki zilikua za kutosha mixture minyama choma plus bites weuwh sikutamani siku iishe😜Usiweke wingi kwamba tulionjoy,sema niliinjoy sana,unaweka wingi ili ujitetee kwamba haikuwa zaidi ya party