ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 20,712
- 76,317
Nipo😆😆😆 kasheshe
Nafungua PM kama upo active niambie udumbukie nifunge tena
Nipo😆😆😆 kasheshe
Nafungua PM kama upo active niambie udumbukie nifunge tena
Ubaya wa nyie mababu mna experience kubwa ya maisha,kwahiyo mkitaka lenu mnalipata tuBabu yao sina madhara kabisa, maana umri wenyewe umenitupa mbali 🤪
Kwamba uzoefu wetu wa mwaka 47 unatubeba 🤭Ubaya wa nyie mababu mna experience kubwa ya maisha,kwahiyo mkitaka lenu mnalipata tu
Wajukuu wanatakiwa watafakari mara mbili watakapo amua kukuletea koki
Mnaanzaga mastory ya zamani hivyo hivyo mara paap mjukuu anajikuta yupo chumbani kwa babu🤣🤣Kwamba uzoefu wetu wa mwaka 47 unatubeba 🤭
Mimi ni Mzee wa Kiko tu na mastori ya zamani basi 😅
Koh koh koh 🤭Mnaanzaga mastory ya zamani hivyo hivyo mara paap mjukuu anajikuta yupo chumbani kwa babu🤣🤣
Pamoja sana mkuu,siku njemaKoh koh koh 🤭
Kuweni na imani na Wazee
Shukrani sana 🙏Pamoja sana mkuu,siku njema
Like kama upo 😊Nipo
hahahahahaha wajukuu wenyewe wajanja wajanja hawaMnaanzaga mastory ya zamani hivyo hivyo mara paap mjukuu anajikuta yupo chumbani kwa babu🤣🤣
yes tresor
Watu wazima vichwa vimechoka hoi hoi..leo pamepoa mno humu JF pako kama ijumaa yani watu wameenda club
wanachokaje wakati ndo kwanza j3 jamni😆Watu wazima vichwa vimechoka hoi hoi..