Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,228
- 26,452
Anza wewe kwanza halafu tutafuataLaleni tena mkuee 🤣🤣
Anza wewe kwanza halafu tutafuataLaleni tena mkuee 🤣🤣
Hizo ndio muhimu sana aisee😅Itabidi tutafute gum buti mapema tu aisee
Tunaweza kuonekana wote ni mashamba boy kumbe ndio mambo ya elninyoHizo ndio muhimu sana aisee😅
Sawa nalala🤣Anza wewe kwanza halafu tutafuata
Hamna namna mkuuTunaweza kuonekana wote ni mashamba boy kumbe ndio mambo ya elninyo
Mbona mapema sana bibieSawa nalala🤣
imenibidi nifanye hivyo asee😄😄Wakikataa ndio vizuri wewe kazi yako inabaki kusema anhaa kumbe, sawa sawa, hapo sasa nimekuelewa vizuri😂😂😂
nitakusimulia pakikucha ngoja nilaze fuvuNini shida cha fujo