JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Sahihi kabisa,nawaonea huruma sana wakazi wa .mabondene,muda wa kulala na viatu sasa umewadia
Si walitolewaga au walirudi? Wale waliokaribu na mto msimbazi na wale wa mto ng'ombe lakini pia kuna wale wa kinondoni shamba.... Temeke sijui wao wako na mto gani maarufu😅
 
Yeah wale wa jangwani,mto msimbazi kwa asilimia kubwa walitolewa lakini,bado maeneo mengi yapo mabondeni,kama pale kigogo sambusa maeneo ya karibu ikija mvua na ule mto.msimbazi upo karibu pale ni majanga

Sehemu nyingi dar ni mtihani tu kwakeli
 
Yeah maeneo mengi Dar mtihani, kariakoo yote ile inajaa maji😂😂... Upanga, masaki, ostabee kidogo kuna maeneo yako vizuri...

Yaani Dar ikisema itokee kitu kama ile ya Nepal hamna kwakukimbilia, labda goba 😂😂😂
 
Ulijuaje mkuu, Goba kuna advantage moja kwasababu kuna miinuko miinuko kwahiyo hata sunami kutufikia huku labda.apende Mungu mwenyewe

posta nayo mvua kidogo watu wanatafutana,yani ni kero tu mkuu
 
Wakati wa kufika kazini saa tatu au nne unawadia na kufika nyumbani mida mibovu nayo inawadia kwasababu ya foleni
 
Ulijuaje mkuu, Goba kuna advantage moja kwasababu kuna miinuko miinuko kwahiyo hata sunami kutufikia huku labda.apende Mungu mwenyewe

posta nayo mvua kidogo watu wanatafutana,yani ni kero tu mkuu
Hata kinzudi nayo angalau unaweza kukimbilia😅😅😅, mbezi makabe ile nayo sio mbaya.

Posta, kariakoo, upanga yote ni kwasababu ya miundombinu, maji hayana sehemu za kupita.
 
Back
Top Bottom