ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 20,587
- 75,605
Siwezi kuishi bila weweWatu wazima vichwa vimechoka hoi hoi..
Siwezi kuishi bila weweWatu wazima vichwa vimechoka hoi hoi..
Kijana wa 2014Aisee.
J3 ?? Kumbe sisi hatujachoka kama wewe aiseee...pumzisha mwili na akili home gwanachokaje wakati ndo kwanza j3 jamni😆
Umeisha shiba vikachori unahemea juu juu na tumbo lako sasa🤗Siwezi kuishi bila wewe
Hivi Dada yangu Joanah ndio kapotea kabisa? Ule uzi wake wa mwisho umenitia wasiwasi.Kijana wa 2014
😆😆😆😆😆 weiiiii kweli nimechoka kumbe ni j5 aaah nishasahau nisameheweJ3 ?? Kumbe sisi hatujachoka kama wewe aiseee...pumzisha mwili na akili home g
Kuna mtu atakamatika sasa hivi kama atauamini huu msemo.Siwezi kuishi bila wewe
Anajua simdanganyi! Tuna miaka 2 penzi letu bado linaunguza kwa moto.Kuna mtu atakamatika sasa hivi kama atauamini huu msemo.
😀 😀
Pumzisha mwili wakwetu. 🤣🤣🤣🤣 wape nafasi vijana pia 🤸🤸😆😆😆😆😆 weiiiii kweli nimechoka kumbe ni j5 aaah nishasahau nisamehewe
Kwahiyo umewasiliana nae sio?Atarudi salama!
Umeona sasa umuhimu wa kua na namba za baadhi ya members? Ungekua na namba yake ungemjulia hali
Ukija dom tena niambie mapema nikusindikize ukapumzike kule 🤣🤣🤣Anajua simdanganyi! Tuna miaka 2 penzi letu bado linaunguza kwa moto.
Kwa hiyo Lucas unamchezea tu ujana wake sio?Anajua simdanganyi! Tuna miaka 2 penzi letu bado linaunguza kwa moto.
Sijawasiliana nae.Kwahiyo umewasiliana nae sio?
Au itakua sijakuelewa? Coz huu uzee unaniijia kwa kasi ya ajabu sana,kila muda nasinzia tu kama teja.
kwa kweli hebu ni sign out nisianze kuandika vitu visivyo kuwepo,, see you tomorrow inshallah hom G 🥰🥰Pumzisha mwili wakwetu. 🤣🤣🤣🤣 wape nafasi vijana pia 🤸🤸
Eee! Fake p ni mwanamkeKwa hiyo Lucas unamchezea tu ujana wake sio?
Alikua anamvizia Lucas apate u DC ..kumbe Lucas nae hamna kitu Akaamua amuachie manyoyaKwa hiyo Lucas unamchezea tu ujana wake sio?
Kumbe ni Mwanamke! Nikajua ni Me.Eee! Fake p ni mwanamke
Uzee unakujia vibaya.
Penzi letu ni la urafiki
Kuna sehemu pa kupumzika utanipeleka nikalale siku ngapi?Ukija dom tena niambie mapema nikusindikize ukapumzike kule 🤣🤣🤣
Aliishia kupewa zawadi za matisheti ya chama tu na kofia za kijani.Alikua anamvizia Lucas apate u DC ..kumbe Lucas nae hamna kitu Akaamua amuachie manyoya