Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,444
- 62,793
Uhai kwanza, linda uhai wako kwa gharama yoyote ileMvua au mafuriko,tafadhali boss nyosha maelezo
Uhai kwanza, linda uhai wako kwa gharama yoyote ileMvua au mafuriko,tafadhali boss nyosha maelezo
Nipo out sili nyamafu nataka freshKuna mmoja huyo anasema it takes a wolf to a wolf,yupo anataka mtu wa namna hiyo,je are you in?
Laki kwa siku inapita mkuuWanakula hela kama mchwa
ukiacha yale meno ya utotoni, sijawahi kuumwa jino au meno, achilia mbali kung'oaHujawahi kung'oa jino baby girl
Linaitwaje weekend nianze nalo🤸🏽♀️maeneo ya kawe kuna chaka jipya limefunguliwa
Utasahau kujenga kwenu..Laki kwa siku inapita mkuu
Swali zuri,sio Kashiba tambi zake halafu anatupa ushauri wakeUmeshauri kama kungwi au Mtaalam wa Afya?🤣🤣🤣
Nipo kwenye gofu langu nalinda bati zisiibiwe mafundi wanakuja keshoUtasahau kujenga kwenu..
Wewe ndio kilanja wa jukwaa hili, unaweza ukakosa kote ila humu lazima uwepo😅😅2318hrs
Wewe night owl/bundi wa usiku akuache tu aiseeOk sawa.. unawahusu zaidi wanaolala 🤣🤣🤣
Bora wewe umechagua kuwa baba mwenye nyumba badala ya baba mwenye gariNipo kwenye gofu langu nalinda bati zisiibiwe mafundi wanakuja kesho
Kiranja maelekezo ni yako tu..🫡🫡Wewe night owl/bundi wa usiku akuache tu aisee
Mwili legezaaaaaaa..🤣😍babaiiii muwe na wakati mwema, nawapenda mno😍❤ Mungu awalinde vipenzi vyangu 👋👋
kwahiyo usiwaze mkuu nipe namba ya mshangaz uooBora wewe umechagua kuwa baba mwenye nyumba badala ya baba mwenye gari
Hongera baby girl,nitaanza kula tambi sasa daadekiukiacha yale meno ya utotoni, sijawahi kuumwa jino au meno, achilia mbali kung'oa
Nimeipenda hiiMwili legezaaaaaaa..🤣😍
Achana na mambo ya kujenga vibanda, kula chuma hicho..kwahiyo usiwaze mkuu nipe namba ya mshangaz uoo