JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Yeah ilikua vizuri ila shida ni kwamba ilikaa kiblog so haikua na utofauti na platforms zingine licha ya kwamba mule kulikua na special room kwa students, ila now nimeongeza hizo contents ila pia article zinaweza kuchange kwenda kwenye audio na pia nataka simulizi ziwe kwenye audio pamoja na animation videos so mtu atakua anachagua anataka kusoma, kuskiliza au kutazama, ila pia awali ilikua kwenye zile contents zinazouzwa pesa inapitia kwangu before imfikie writer now inakua kwenye dashboard yake so akitaka kuwithdraw anatuma request then tunaapprove pesa inaingia kwenye njia aliyochagua apokelee hiyo pesa.
Itakuwa nzuri, unaiachia lini au bado unaandika code
 
Itakuwa nzuri, unaiachia lini au bado unaandika code
Almost done coz hayo maeneo yote nilivyokwambia yapo tayari kasoro hilo eneo la pesa kidogo Lina utata kulingana na sheria za bank kuu😅

Kwamba startup yoyote inayoweka na kutoa pesa inakua kama ewallet na ikishakua ewallet basi inaingia kwenye Fintech na huko ni lazima uwe na leseni lakini pia mtaji uanzie million 500 ili upewe leseni... Nipo najaribu kuzisoma ili nione nafanyaje integration hapo ili isiingie kwenye huo upande😂
 
Utafanikiwa tu ndugu yangu ni kumuomba mungu
 
Back
Top Bottom