Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,114
- 11,325
Alooh hii kabla sijakutana nayo nishapiga bao 3 za mkono wallahiAchana na mambo ya kujenga vibanda, kula chuma hicho..
View attachment 3660900
Alooh hii kabla sijakutana nayo nishapiga bao 3 za mkono wallahiAchana na mambo ya kujenga vibanda, kula chuma hicho..
View attachment 3660900
Yani humu ndio jf yenyewe mkuu,itafika kipindi nitapatikana humu sana,kama kamanda wangu Fake PWewe ndio kilanja wa jukwaa hili, unaweza ukakosa kote ila humu lazima uwepo😅😅
Love you baby girl 😘😘😘😘babaiiii muwe na wakati mwema, nawapenda mno😍❤ Mungu awalinde vipenzi vyangu 👋👋
Tulikutegemea sana, utuanzishie kiwanda cha kutengeneza vikombe vya plastiki hapa mtaani, ila kwa chaguo ulilolichagua, tuseme umasikini oyeeee.Alooh hii kabla sijakutana nayo nishapiga bao 3 za mkono wallahi
Humu bwana kama unavyoona mastory,vicheko,utani yani tuna dunia yetu mkuuHahahaha humu pako na utulivu kiasi, mambo ya kurushiana mawe hayapo sana😅
Sawa kamanda nimepokea taarifaMapema sana sasa hivi we aga tu ukapumzike mkuu 🤣🤣🤣
Mishangazi siku hizi inachochea uchumi wa vijanaTulikutegemea sana, utuanzishie kiwanda cha kutengeneza vikombe vya plastiki hapa mtaani, ila kwa chaguo ulilolichagua, tuseme umasikini oyeeee.
Yeah, huwa nachungulia chungulia sana mkuu... Mko vizuri😅Humu bwana kama unavyoona mastory,vicheko,utani yani tuna dunia yetu mkuu
Waogope sana hao, usiwe nao karibu, wataharibu ndoto zakoMishangazi siku hizi inachochea uchumi wa vijana
Kwa punchline tu unatisha sanaaaLaza mshale mkuu kwa Afya ya mwili na akili..
Karibu sana mkuuYeah, huwa nachungulia chungulia sana mkuu... Mko vizuri😅
Hadi mimi nimeumia sana! Ndo basi tena kumuona Majaliwa00:09
Namuwazza Malisa🤧