Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,512
- 6,508
Yeah sure... Itaenda itaenda itaendaaaaaa😅😅Utafanikiwa tu ndugu yangu ni kumuomba mungu
Yeah sure... Itaenda itaenda itaendaaaaaa😅😅Utafanikiwa tu ndugu yangu ni kumuomba mungu
Kila mmoja akijifungia ndani na chakula chake, kwa sisi tunaotegemea kila siku itakuwaje?Tangu kini elinino ikawa na lockdown
mi sijawahi kuumwa ugonwa wowote wa kinywaHaya mambo bwana ukiumwa na jino na maumivu yake,unaajiambia kuanzia sasa ntapiga mswaki kabla ya kulala
Subir upone sasa,,ni hapa tu mwendo wa kupotezea
Ukizurura hovyo hovyo, mvua inakuchukuaTangu kini elinino ikawa na lockdown
si ndio, sitaki watu wapate matatizo yanayo epukika kirahisi kabisa😊😅Umeshauri kama kungwi au Mtaalam wa Afya?🤣🤣🤣
We acha tu Mungu asaidie tusifikie huko,maisha yetu tunayajua wenyeweKila mmoja akijifungia ndani na chakula chake, kwa sisi tunaotegemea kila siku itakuwaje?
Kwahiyo sasa hivi unaelekea wapi🤣mimi sinaga siku maalum
yaani we acha..Humu ma girls wote walio online wamewahiwa tayar
kakuskia na amefurahi sana😊, kasema anakusalimia piaOk usiku mwema msalimie dosho jr 😁
Mvua au mafuriko,tafadhali boss nyosha maelezoUkizurura hovyo hovyo, mvua inakuchukua
maeneo ya kawe kuna chaka jipya limefunguliwaKwahiyo sasa hivi unaelekea wapi🤣
Ok sawa.. unawahusu zaidi wanaolala 🤣🤣🤣si ndio, sitaki watu wapate matatizo yanayo epukika kirahisi kabisa😊😅
Kuna mmoja huyo anasema it takes a wolf to a wolf,yupo anataka mtu wa namna hiyo,je are you in?Humu ma girls wote walio online wamewahiwa tayar
Wanakula hela kama mchwaHumu ma girls wote walio online wamewahiwa tayar
Bila shaka ushajitekea wakwako mkongweyaani we acha..
kabisa na wasijifanye hawaoni😄Ok sawa.. unawahusu zaidi wanaolala 🤣🤣🤣
Hujawahi kung'oa jino baby girlmi sijawahi kuumwa ugonwa wowote wa kinywa
ila huu ni utaratibu wangu toka enzi na enzi,