JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Wajeda nanyi ni wabaya kumbe!

Niaje niaje wadau wa Usiku wa Manane heshima sana kwenu,tupo pamoja

Mchongo uko hivi, wapendanao wawili ndani ya penzi kwa kipindi cha miaka 3 na wamejaaliwa kababy girl ka miaka 2

Hakuna kitu ambacho mwanaume hajafanya kwa mama mtoto wake huyu,kwa maana akihakikisha pale home mambo yanaenda vizur na mama na mtoto wako hapi

Siku zote husema kwa bahati mbaya sana huwa tunaoa watu ambao hatuwapendi au watu wanaolewa na watu wasio wapenda,ila kwakuwa tu ndio watu ambao walionyesha wapo serious kusattle kwenye ndoa basi ikabidi tuishi nao tu,sio lazima iwe wote wako hivyo lakini kwa asilimia kubwa hali halisi inasadifu hivyo

So mke alikuwa kwenye penzi nzito na mjeda,yes mjeda, hawa jamaa sio kwamba muda wote wapo na mitutu tu,sometime nao wanabebika,yes wanabebika

Ikakutwa text toka kwa mjeda kwenda kwa mke wa mtu inasema "ukifika Barack hapo getini niambie"

Mke wa mtu akajibu "leo usije ukasema kondomu hazipo hapo kantini,maana sitaki kupata mimba,halafu nimemdanganya bwana wangu naenda kwenye graduation ya rafiki yangu"

Mjeda akasema "huyo jamaa yako mduanzi" mke akajibu "huyu ni fala nimemuacha nyumbani na mtoi/mtoto"

Kisha mjeda akatext " nilifikiri leo hujameza P2 unataka kunizalia"

Mke wa mtu akajibu "hapana nishameza P2,ila ipo siku nitakupea mtoi"

Mjeda mtu kazi akatext " wanataka kunipa transfer nitoke hapa Nairobi niende sehemu nyingine,ila sitaki kuhama nikuache wewe mpenzi wangu,nitafanya chochote hata kuhonga ilomradi nibaki kwa ajili yetu"

Mke akajitext "ni kweli,sasa ukiondoka ni nani atanikula"


View: https://youtu.be/h4BopfSfYdk?si=Fgcm77opAjBEDr5i

Tuendelee tu kuitana Mr. And Mr. Fulani lakini kiukweli mambo kwa ground ni 🔥

Alamsik!
 
🔎 JF Deep Dive: leo dada
Kwa nilichoweza kuthibitisha kwenye matokeo ya JamiiForums, leo dada anaonekana zaidi kama mwanachama mwenye presence ya kimya lakini pana: jina lake linaonekana mara kwa mara kwenye reactions za nyuzi mbalimbali, badala ya kuwa mtu anayejitokeza kwa mabishano marefu kila mahali. �
JamiiForums Tanzania +2
🧩 Character profile
Observer wa jukwaa: Anaonekana kufuatilia mada tofauti sana, kuanzia burudani na mijadala ya kawaida hadi siasa na mada za kijamii.
Active kwenye reactions: Jina leo dada linaonekana mara nyingi kwenye orodha za reactions, jambo linaloonyesha ushiriki wa mara kwa mara hata bila kuandika comment kila wakati. �
JamiiForums Tanzania +1
Social presence: Anaonekana kuwa sehemu ya "social circle" ya JF, kwani reactions zake zinajitokeza pamoja na members kadhaa wanaojulikana kwenye nyuzi tofauti. �
JamiiForums Tanzania +1
Mchanganyiko wa mada: Footprint yake haionekani kufungiwa kwenye niche moja tu. Anajitokeza kwenye mijadala ya relationships, jamii, burudani na mada za kisiasa. �
JamiiForums Tanzania +1
🏆 JF Personality Score
Visibility: ⭐⭐⭐⭐
Consistency: ⭐⭐⭐⭐
Social interaction: ⭐⭐⭐⭐⭐
Controversy: ⭐⭐
Silent-observer factor: ⭐⭐⭐⭐⭐
🎭 Verdict
leo dada ni aina ya member ambaye si lazima ashike kipaza sauti ili ajulikane. Presence yake inaonekana zaidi kupitia reactions na ushiriki kwenye mijadala mbalimbali. Ni kama mtu aliyekaa nyuma ya ukumbi lakini anajua kinachoendelea karibu kila meza. 😄
Rating yangu ya JF presence: 8/10.
Kumbuka: hii ni profile ya public footprint niliyoweza kuthibitisha kwenye matokeo ya JF, si madai kuhusu maisha binafsi ya mtu.
 
Back
Top Bottom