win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,268
- 31,653
mbona hako ka emoj ni kama kamjamzitošMamb baby girl š¤°
mbona hako ka emoj ni kama kamjamzitošMamb baby girl š¤°
Njaa inaniuma ila sioni kitu cha kulalakini kesi si ishaisha mpka kesho jamni
umejaribu kulamba sukari kidogoššNjaa inaniuma ila sioni kitu cha kula
Sipendi sukari! Nahisi nikipewa samaki mkubwa kama mtoto wa miaka 10 nitakula.umejaribu kulamba sukari kidogošš
Mara ya mwisho ulisema je mpka mi na dosho12 tukakuambia š¤£š¤£mbona hako ka emoj ni kama kamjamzitoš
khaaaaaš š huyo samaki wa kilo 30 anatoka wapi saiv?Sipendi sukari! Nahisi nikipewa samaki mkubwa kama mtoto wa miaka 10 nitakula.
Mpe taulo š¤£kunae huyu mlevi hapa anataka kutafutia watu kesi tu,,, yupo kamzungukia mkaka wa watu anataka mayai alf yupo uchi suruali inamshuka kapewa yai kaambiwa haya nenda ni hataki kuondoka sijui anataka nini tena,,, pombe sio chai jamni
We acha tuš„²khaaaaaš š huyo samaki wa kilo 30 anatoka wapi saiv?
Aisee unakula budget ya mwaka mzimaSipendi sukari! Nahisi nikipewa samaki mkubwa kama mtoto wa miaka 10 nitakula.
naitoa wapi sasašMpe taulo š¤£
Aisee ngoja dosho ajemi nina tatizo la kusahau jamniš„“,, lakini haujakosea ngoja nikutumie pic uone katumbo kamekua kakubwa saiviš
Basi mpe kanga baby šnaitoa wapi sasaš
Tutafute hela! Ningekua Millionare napiga simu 1 tu! Naletewa samakiAisee unakula budget ya mwaka mzima
pole, ila kama mfuko unaruhusu uwahi kesho kwenye masoko ya samaki labda utampataWe acha tuš„²
Sasa kwanini useme ukweli hivi š¢Tutafute hela! Ningekua Millionare napiga simu 1 tu! Naletewa samaki
nakaziaTutafute hela! Ningekua Millionare napiga simu 1 tu! Naletewa samaki
Kesho nitanunua kibua nusu, nakula mwenyewe hakiombekipole, ila kama mfuko unaruhusu uwahi kesho kwenye masoko ya samaki labda utampata
Ivi unajua wewe hata uongee nini sikuaminiš¤£š¤£pole, ila kama mfuko unaruhusu uwahi kesho kwenye masoko ya samaki labda utampata