ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,519
- 41,525
Una search nyuzi za enjoyment 😉walah vile mi huwa nadeal na trending kila siku nakwambia,,, nyuzi ninazo zisearch ni 3, huu wa usiku wa manane, selfika na ule wa msitari wa wimbo
Nataka nikutambulishe shemeji yako😅