secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,474
- 43,902
23:28.
Ndege mdinya a.k.a Deo Ndejembi 😎
Ndege mdinya a.k.a Deo Ndejembi 😎
Daddyy😍23:28.
Ndege mdinya a.k.a Deo Ndejembi 😎
Pole sanaJaman nipo nasafiri naenda moshi haya magari ya esther luxury coach ni kobe kabisa sipandi tena
Kwa kweli ni pole kubwa sana tokea saa 7 mchana mpaka sasaPole sana
Duhh wanatambaaKwa kweli ni pole kubwa sana tokea saa 7 mchana mpaka sasa
Acha kabisa madamDuhh wanatambaa
Ndo makamu wenu huyo 😂😂23:28.
Ndege mdinya a.k.a Deo Ndejembi 😎
Hapa hapa mmeanzisha nyuzi kwamba mnataka hard-core asee 🤔
Anadinywa nnNdo makamu wenu huyo 😂😂
Yeap ndo makamu huyo mkuu, japo sikuwahi msikia kablaAnadinywa nn
Wameamua kuacahana na wakongwe pasua kichwaYeap ndo makamu huyo mkuu, japo sikuwahi msikia kabla
🤗🤗❣️Tiisha mwili na Afya, home g..onelov 🫂dosho12 utaniagia kwa Ertugrul Bey na kwa sisy Fake P waambie nimepita kuwapa hi ila sijawakuta,,, muwe na wakati mwema nawapenda bure💕😻 mi nalog out hivyo 👋👋