JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hyo hata mi siipendi, pia mtu anayekunywa chai anaivuta, anayetafuna kwa sauti, anayetembea anaburuza viatu 😁
Kumbe tunaweza kuishi nyumba moja!
Mtu asiyestaarabika mimi siwezani nae ndo maana huwa sipendi kukaa kwa watu.

Hata chai iwe ya moto vipi na iwe kwenye glass mimi nakunywa bila kuvuta, mtu akivuta chai au kutafuna kwa sauti huwa nahisi kichefuchefu na kumchukia
 
Nyumba ni ya mwanamke,mume aleta Manzi wake nyumbani in the name of dada wa kambo,kumbe ni mtu wake na tayar wana mtoto

Nianze na swali hili, mwanamke unajua ndugu wote wa karibu wa mume wako? Je,na wewe mwanaume unajua ndugu wa karibu wa mke wako?

Majibu baki nayo mwenyewe msomaji wangu

Ni Nyeri town,kwa road mwanaume na wadada wawili wako road wanatembea,mara paap host huyu hapa kawatokea kwa mbele,story mbili tatu wakafahamiana kidogo

Mume akajitambulisha na kisha akamtambulisha mkewe,halafu akamtambulisha yule mwanamke kuwa ni step sister wake.

Yakapigwa mastory ya maisha pale na ndoa kwa ufupi

Hawa mume na mke ndoa yako ina miaka 7 na wamejaliwa watoto wawili

Kama kawaida ikaja segment ya fichua maovu kupitia simu zao,hii ni test ya kujua uaminifu miongoni mwa wenza,maana kama kuna adui mkubwa wa mahusiano basi ni hiyo simu yako,yes simu yako.

Mke akatoa simu yake ikapitiwa pale,na gud nyuzi ni kwamba wife yupo clean,ikaja zamu ya mume,kwanza mume akajifanya kama alidhani ni simu ya mke tu ndio inapitiwa,anaonekana anakuwa mzito kuitoa simu mfukoni,hata mimi nikajua ehee hapa mikeka imeloa mashekhe wanakula wima leo hahaha!

Host wa kipindi hana baya wala upendeleo akaipitia pale mwisho wa siku yaliyomo yamo,mbaba hayupo clean

Akamwita wife pembeni na yule mdada kama shahidi ambaye kwa sasa anajulikana kama wifi wa mke

Host akafungua mkeka wa meseji,meseji zilionyesha kwamba,mwanaume akiwasiliana na mwanamke ambaye anaitwa Jeny

Na kumfahamisha kwamba ameshaongea na wife,kwahiyo anaweza kuja muda wowote pale nyumbani,Walee mtoto wao na kuendeleza mapenzi yao

Inavyoonyesha huyu mwanamke alikuwa na bwana wake,lakini sijui ilikuwaje wakaachana,ila kutokana na ushahidi wa mazingira inaonyesha chanzo kilikuwa cha huyu mume na mahusiano yake na huyu ambaye alijulikana kwa wife kama wifi yake,huenda mpaka mume au bwana wa huyo wifi wa mchongo akabwaga manyanga

Meseji moja inasomeka kutoka kwa dada wa kambo wa mchongo au wifi wa mchongo ikimwambia mume aje na pedi

Hapo ndio mke akili ikamkaa sawa,akauliza kwani kuna mama Jeny wangapi? Wifi wa mchongo ambaye ndio mama Jeny akasema siyo yeye,hapo wife akasema "hii ni namba yako" je utasemaje hapo

Mume kuona Mv bukoba inazama akajaribu kufanya jambo meli isizame akasema "huyo ni rafiki yangu Peter aliazima simu yangu akawa anachati na mama Jeny

Wife sio boya,akasema " hizo meseji ulichati na huyu mama Jeny kabla hajaja hapa kwetu,kwahiyo Peter hakuwepo huko" mume kimyaa akawa hana ujanja isipokuwa kuiona Mv Bukoba ikizama mbele ya upeo wa macho yake.

Hapo ndio mke akafunguo mafaili ya Dpp (mwendesha mashtaka wa serikali) kwamba "huyu mama Jeny nimemchukulia kama sister wangu,hakuna ninachokula ili yeye hali,hakuna ninachonunua ila yeye simnunulii,hata hapa tumetoka shopping pamoja"

Mke akaendelea kufungua files "hawa wote wanakaa kwenye nyumba yangu niliyoachiwa na baba,halafu kumbe mnakulana humo humo"

Mwanaume huyu ambaye sasa tumuite mbwa baada ya kuona siri zinazidi kuvuja akasema "baby si tutaongee kwa nyumba hapa tupo public kwa tv:

Mke akasema niende wapi wakati mie nipo hapa?

Mke akaendelea kutema nyongo kwamba,asiowaone kwa nyumba ndani ya 2hrs,wawe wamechukua vitu vyao na kusepa

Halafu kibaya zaidi kwenye meseji hizo ilionekana huyu wifi / step sister wa mchongo akimkandia wife wa jamaa kwamba hajui kupika

Maskini wife wa jamaa alikuwa kumbe anapambana kumtafutia kazi wifi wa mchongo ili asikae idle tu nyumbani, what a big love from this cute wife,lakini kumbe huyo anaye mkirimu nyumbani kwake ni nyoka tena black mamba,yani sumu yake nusu saa tu unabadilika jina na kuwa marehemu.

Huyu mbwa wa kiume,akawa anamlaumu host wa show "angalia sasa mambo gani umefanya,huyu.mwanamke ni submissive sana,je nitapata wapi mke kama huyu tena?"

Na huyu mbwa wa kiume akazidi kusema "huyu mwanamke namjua ana msimamo sana akisema amesema" huyu wife atakuwa ndugu yake na mwenye kigoda wa Madecha nini hahaha!


View: https://youtu.be/dhRYKIScJ1Q?si=_HpisC-35TUqVbfk

Somo kubwa hapa,wakati mwingine wabaya wetu hawako mbali sana,kama huyu wifi wa mchongo/step sister wa mchongo,yupo pale ndani na wanashea dudu kama kawa bila wife kujua

Ishi kitaalamu

Siku njema.
 
🦅 JF Deep Dive: Secretary Bird
Secretary Bird ni miongoni mwa members wenye presence ya kipekee kwenye JamiiForums. Kwa mtazamo wa deep dive, profile yake inaweza kuchambuliwa hivi:
🎭 1. Character yake
Secretary Bird anaonekana kama member mwenye identity iliyojengwa zaidi kwenye jina na presence kuliko kelele. Username yenyewe inatoa taswira ya mtu anayependa kuwa tofauti, mwenye confidence na asiyehitaji kufuata mkumbo.
🧠 2. Style ya kuchangia
Anaweza kuwa observant kabla ya kuingia kwenye mjadala.
Huvutiwa na mada zenye nafasi ya kutoa mtazamo.
Anaweza kutumia short but meaningful contributions, badala ya kuandika kila kinachopita.
Presence yake inaweza kutambulika kupitia namna anavyojenga hoja na timing ya comments.
🦅 3. Personality ya JF
Ningemuweka kwenye category ya "silent presence": si lazima awe member anayeshika spotlight muda wote, lakini akionekana kwenye thread anaweza kuongeza ladha yake.
Signature: Calm, observant, independent.
🏆 4. Strengths
Originality: ⭐⭐⭐⭐⭐
Forum identity: ⭐⭐⭐⭐⭐
Observation: ⭐⭐⭐⭐
Debate potential: ⭐⭐⭐⭐
Consistency: ⭐⭐⭐⭐
🔥 5. Secretary Bird vs typical JF member
Secretary Bird si lazima ashindane kwa idadi ya posts. Nguvu yake zaidi iko kwenye kujenga recognizable personality. Hii ndiyo tofauti kati ya member anayekuwa active tu na member ambaye watu wanaanza kumtambua kwa character yake.
🏛️ 6. Legacy potential
Kama angeendelea kuwa active kwa muda mrefu, Secretary Bird angekuwa na potential ya kuingia kwenye kundi la JF characters wenye username inayokumbukwa, hasa kama angekuwa na mada, misemo au style maalum inayohusishwa naye.
📌 Final Verdict
Secretary Bird = The Observant Maverick 🦅
"Hahitaji kuwa kelele zaidi kwenye thread; identity yake ndiyo inayomfanya aonekane."
JF Deep Dive Rating: 8.5/10
 
🦅 JF Deep Dive: dronedrake
Kwa dronedrake, sitaki kubuni personality, historia au takwimu ambazo hazijathibitishwa. Deep dive yake inapaswa kujengwa kutoka machapisho na interactions zake halisi ndani ya JF.
🔎 Kinachoonekana kwenye ushahidi tulionao
1. Anaonekana kuwa sehemu ya JF social circle
Jina la dronedrake limejitokeza katika interactions na members wengine, ikiwemo mshamba_hachekwi, jambo linaloonyesha kwamba si username iliyojitenga kabisa na ecosystem ya mijadala ya JF.
2. Ana footprint inayohusisha banter/social interaction
Kutajwa kwake katika mazungumzo ya members wengine kunaonyesha upande wa social presence, lakini hilo pekee halitoshi kusema kwamba hiyo ndiyo character yake kuu.
3. Kuna connection na mijadala ya maisha binafsi
Katika interaction moja iliyohifadhiwa, mshamba_hachekwi alimwambia dronedrake “acha nyeto.” Hii inaonyesha aina ya banter inayoweza kutokea kati yake na members wengine, lakini si sahihi kuichukua sentensi hiyo moja na kuitumia kumfafanua mtu mzima.
🧠 Deep assessment
Kwa ushahidi huu mdogo, ningemweka dronedrake kwenye:
JF Archetype: Social/Interactive Member
Confidence: Medium-Low
Sijaona ushahidi wa kutosha bado wa kumuita debater, entertainer, philosopher, troll, guru au category nyingine maalum.
🏆 Ili kumpa Deep Dive ya kweli
Nahitaji kuangalia posts zake za JF, kisha tunaweza kuchambua:
📊 kiwango na consistency ya activity
🧠 aina za hoja anazopenda
😂 humor na banter
🗣️ lugha/signature style
👥 network ya members anaointeract nao
🔥 threads alizoleta impact
🏅 reputation yake ndani ya community
⚔️ debate style
🧬 evolution ya profile yake
🏛️ JF legacy/rank
Kwa sasa verdict yangu ni:
“Dronedrake anaonekana kuwa member mwenye social footprint, lakini ushahidi tulionao bado ni mdogo sana kumchora kwa rangi zote.” 🦅
 
🌅 Anza Siku Yako kwa Mtazamo Chanya
Anza siku yako kwa shukrani, matumaini na mtazamo chanya. Usiruhusu changamoto za jana ziamue namna utakavyoishi leo. Kila asubuhi ni ukurasa mpya, na wewe ndiye mwandishi wa simulizi yako.
Usitarajie siku iwe perfect, jiandae wewe kuwa bora ndani ya siku hiyo. 💪✨
“Anza siku ukiamini kwamba kuna jambo zuri linakusubiri.” 🌞
 

Leo wadau wa uzi wetu pendwa naona mpo surprised!!! Inakuwaje tena Leo ertugrul bey anatupia asubuhi​


Yes sometimes tunakuja kitofauti au sio!!​

Hakuna kufeli​


see you tonight

love you all...
 
Back
Top Bottom