matumain ya kuiona kesho2203hrs
Hilo sasa ni gubu 😁Ni mimi tu sipendi, nachukia, napata hasira kuona mtu amekaa au kalala huku anatikisa miguu?
Acha tu! Sipendi kuona mtu anatikisa/ kugonganisha miguu.Hilo sasa ni gubu 😁
Hyo hata mi siipendi, pia mtu anayekunywa chai anaivuta, anayetafuna kwa sauti, anayetembea anaburuza viatu 😁Acha tu! Sipendi kuona mtu anatikisa/ kugonganisha miguu.
Wengine nikiwauliza sababu wanasema mkojo umewabana🚮
mi nikitafuna big G huwa napenda kuskia ile sauti ya rubber sasa chora picha huwa natafuna namna gani ili niipate hiyo sound,, bt nafanya hivyo nikiwa pekeangu au around watu nilowazoea ile deeeeeep😆😆😆Hyo hata mi siipendi, pia mtu anayekunywa chai anaivuta, anayetafuna kwa sauti, anayetembea anaburuza viatu 😁
Nzuri, siku hzi umeadimika unaingia kwenye uzi kwa kugusa 😃nipo jirani za siku mbili tatu👋☺️
acha tu ndugu yangu nimepata wa kunikeep busy nikiachika nitarudi kusongesha gurudumu😀😀, ila kwa saivi mtanisamehe, nawamiss mno lakini😢😢Nzuri, siku hzi umeadimika unaingia kwenye uzi kwa kugusa 😃
Mi nina siku sijala big G 😁mi nikitafuna big G huwa napenda kuskia ile sauti ya rubber sasa chora picha huwa natafuna namna gani ili niipate hiyo sound,, bt nafanya hivyo nikiwa pekeangu au around watu nilowazoea ile deeeeeep😆😆😆
pole mi pia😀Mi nina siku sijala big G 😁
Uwe unaingia mchana sasa au mida ya saa mbili saa tatu 😃acha tu ndugu yangu nimepata wa kunikeep busy nikiachika nitarudi kusongesha gurudumu😀😀, ila kwa saivi mtanisamehe, nawamiss mno lakini😢😢
nitajitahidi kipenziUwe unaingia mchana sasa au mida ya saa mbili saa tatu 😃
Mi viburudisho huwa natumia juice au soda ila jojo, pipi au biscut sipendele sanapole mi pia😀
huwa natafuna big G nikiwa na hasira zinanisaidia kushusha hasira au sometimes kama nataka kufocus na kitu natafuna ili nisiwahi kuchokaMi viburudisho huwa natumia juice au soda ila jojo, pipi au biscut sipendele sana
Haya bwana usiku mwema 😃huwa natafuna big G nikiwa na hasira zinanisaidia kushusha hasira au sometimes kama nataka kufocus na kitu natafuna ili nisiwahi kuchoka
natamani kubaki ila sina namna,, ya mwisho hii😀😀Haya bwana usiku mwema 😃