Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,467
- 85,773
Hivi watu mnawezaje kuwa serious na fake ids🤭🙄Au sio
Hivi watu mnawezaje kuwa serious na fake ids🤭🙄Au sio
Sijawah kuwa serious na mambo ya humu hasa yasio na umuhimu, labda mood yangu ya siku husika iwe tofauti tuuHivi watu mnawezaje kuwa serious na fake ids🤭🙄
Kila mtu hajawahiSijawah kuwa serious na mambo ya humu hasa yasio na umuhimu, labda mood yangu ya siku husika iwe tofauti tuu
Angalia comment zao za kila siku utajua makundi ya kuwaweka.Kila mtu hajawahi
No wonder 🤷🏽♀️🙄
Nawazoom sana, kila mmoja kaokoka😅Angalia comment zao za kila siku utajua makundi ya kuwaweka.
Tuishi humo humo tuu 😂Nawazoom sana, kila mmoja kaokoka😅
vp washangaaAisee.
ndo anataka watu kama weweMara bum!napewa nafasi ya Nchimbi yani nitashirikiana na mama bega kwa bega
yaan acha tu nilienda kwenye mavuno😅Yani sijui anagombea uenyekiti wa mtaa au laa,au ndio kafuata matikiti shambani
eeeh lugha ya wapi hii😄😄😄😄Anajenga hoja za ze tragedy of VIP resignation na mendacity 🤣🤣
saivi nishajifunza jinsi ya kucontrol kisukari bwana😅Usikute anapambania nafasi ya kuwa mpishi wa VP,si unajua yule kafariki,,,,mh mungu nifundishe kunyamaza asije akaja hapa akapandisha kisukari
yan wakiniona wanipe hata kazi ya kufagia jikoni nitashukuru maan kitaa kigumu😆😆Hiyo secta anaimudu sana, Wakuu wamuone kwakwel