Hatimaye walokole wamefikiwa,Mwanamke wa Kilokole ataka kumuua mumewe kwa ajili ya Robert
Wadau wa usiku wa Manane napenda kukiri hiki kisa kimenifanya nilengwe na machozi, women nawaita mara tatu "HUWA NINI MNATAKA?"
Kwanza naomba mfahamu kwamba hivi visa ninavyoleta ni true story kabisa kutoka kwenye show inayoitwa Comrades flavor,ni ushuhuda tosha wa usaliti katika mapenzi
Kwahiyo sichapishi hapa kama burudani tu,bali ni kujifunza,kujifariji na kuchukua tahadhari kwenye swala zima la mapenzi,mahusiano na ndoa
Usikose kujoin Mtaa wa Usiku wa Manane daily for more exclusive, hii sasa ni kazi yangu maalumu kuleta awareness katika jamii.
Here is the story:
Kwanza hawa wanandoa walianza na mawaidha mazuri sana juu ya kuchagua mwenza mzuri wa maisha,ikiwemo kujuana kabla ya ndoa,kujua historia ya mwenza na mambo yote ambayo ni muhimu kwa kupata mke au mume bora
Na wakasema wao ni walokole,na wakasisitiza juu ya kumtegemea Mungu na hivyo kuwapa ndoa bora na imara
Guess what? Don't trust sweet words kutoka kwa watu lau ukiwajua kiundani utajua hujui
So ikaja segment ya kukagua simu zao, mpaka sasa nimeangalia video nyingi lakini men are clean,siwezi sema hakuna wanaume kimeo ,wapo na tutawafikia tu hapa hapa mtaani kwetu Usiku wa Manane
Mume kachekiwa yupo sawa,kasheshe simu ya wife sasa
Meseji moja wife anamwambia mchepuko wake,nawashwa chini huku sijui umeniambukiza ugonjwa? Jamaa akajibu hata mimi nahisi kama sipo sawa vile,mchepuko akaendelea kusema " ila nahisi ni mke wangu maana simuelewi siku hizi anabadilisha password kila wakati"
Mke mlokole akasema basi tuanze kutumia kinga sasa,maana toka nilale na wewe sijalala na mume wangu
Mchepuko wa mke akasema " ukienda kupima infections basi uniambie hayo majibu ili nami ninywe dawa"
Kuna mambo mengi ndani yake lakini ambalo limenifanya nilengwe machozi ni mke kupanga mpango wa kumuua mume wale ili wafaidi vizur mapenzi yao,yani wawe free
Halafu injinia wa hii ishu inaonekana ni mke coz anamwambia huyo Robert "kwani tumefanya deal ngapi tushindwe kumuweka under 6feet huyu mume wangu
Tena anasema hakikisha unamuua mbali huku na ikowezekana simu yake itupwe mbali huko ili kuwa changanya polisi kwenye upepelezi wao
Guys nilikuwa naangalia hii video ambayo ntaiweka huku nalengwa na machozi,women women women kwanini lakini?
Mwisho wa siku mke anaulizwa kwanini unataka kuniua,je nimefanya mambo mangapi kwenu,nimejenga kwenu na mambo kibao,ila nilichojifunza wanaume wa Kenya aisee wanainvest sana kwa wanawake,yani wakipenda wanapenda kweli na hawawazi kuwahudumia wapendwa wao
Mwisho wa siku,mume kasema hataacha hili jambo lipite hivi hivi anaenda na ile simu kwa DCI, MAMBO YA POLISI HUKO
Nilijifunza kingine ni kwamba wanawake Wikipenda wamependa kweli ila ishu ni kwamba wanaolewa na watu wasio wapenda,ndio maana wakikutana na wanao wapenda wapo radhi kufanya chochote ili mradi wawe na huyo huyo mwanaume wa ndoto yao
Just imagine wanawake ambao wamecheat wengi wamefanyiwa mambo makubwa na waume zao,ikiwemo kujengewa nyumba wao binafsi na familia zao,lakini wanasahau yote hayo
Ndio maana inasemwa wanawake wapo royal kwa hisia zao,na si majumba au magari au dhahabu
View: https://youtu.be/DJ_Kwr5ElW0?si=0zwhU1D1CPMboeps
See you next time
Alamsik!