Anko ndani ya anniversary ya kumbukumbu ya kifo cha mkewe,amejikuta ameulewa mzigo wa mtoto wa dada yake
Kuna watu huwa hawatambulishwi mizigo ya kuvunja chaga,kitendo cha kumtambulisha hilo bonge la dada ujue kinachofuatia ni lawama
Homeboy aliamua kwenda na mwenza wake kuuungana na anko wake kwenye kumbu kumbu ya kifo cha mkewe aliyefariki kwa covid
Lakini kumbe nyuma ya pazia anko akaulewa ule mzigo,wakabadilishana namba na demu wa chalii bila chalii mwenyewe kujua
Huku maisha ya kijana na demu ni changamoto,muda wa kulipa kodi umefika na mwamba mfukoni hapaja eleweka,manzi akiuliza je inakuwaje,mwamba anatoa ahadi tu
So manzi akaamua kutangaza shida kwa anko na anko naye hana baya ukichukulia kwamba mzigo ameulewe
Changamoto ya pili,ilifika siku ya wapendanao,mwamba yupo job anapambana,huku demu anaona wenzake wanafanya mitoko akaona huu ujinga haiwezekani yeye kukaa nyumbani wakati anko anaweza kumtoa out,ingawa bwana wake alimwambia atamtoa out tar 15 February siku moja baada ya Valentine kupita, hilo haliku mfanya bibie akatishe ratiba yake ya kula Valentine day tar 14
Demu anasema hakika anko wa bwana wake alimtreat vizur sana,akajisikia furaha sana,alipoulizwa ilikuwaje ukatoka out na anko na kutembea nae,akajibu ni tamaa tu imempata,akaulizwa tamaa ni mara moja lakini mbona nyie mmekutana mara nyingi,akaishia kuomba msamaha
Akaulizwa ebu sema ukweli hapa kwenye kamera je unampenda anko,mtoto akasema ndio
Basi bwana wake mpambanaji akamwambia basi nenda kwa anko wangu kwakuwa unampenda,mtoto anabaki kusema sasa tumezaa mtoto inakuwaje na wewe ndio baba mtoto wangu,mwamba hakuelewa somo akasepa
Hayo ndio maisha ya mapenzi,hakika lolote linaweza tokea na kwa wakati wowote ule
Video hii hapa,cheki mwenyewe zigo la kuvunja chaga,usije ukasema Ertugrul bey analeta sound tu
View: https://youtu.be/cw6uZlBomLk?si=2qBt9_rori6z9ylQ
Alamsik!