JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hakuna wala nipo okay mbona
Hivi dosho12 uliwahi kuniambia nipandishe uzi kule jamii intelligence?
Ndio, andika zile nyuzi zako za kufikirisha weka kule, huwa una idea nzuri zinafaa kukaa kule ingawa zinaweza kuwa na wachangiaje wachache ila ni reply za kisomi zaidi
 
Nimeandika uzi aisee nime andika wee kila nikiandika na delete naona bado mwisho nikaona okay
Heh napost naambiwa mpaka moderator apitishe tangu muda huo mpka now kimyaa!
 
Ndio huwa ipo hivyo ukiandika huko, inachukua muda uzi wako kuachiwa nahisi huwa wana ureview kwanza
 
hivi kwanini watu wanakufa?, kuna siri gani nyuma ya kifo maana kati ya madaktari wote duniani kwanini hakuna hata mmoja aloweza kuvumbua chanzo cha kuzuia mtu asife?,

mbona wameweza kubadilisha viungo vya mwili wa binadam kwanini wameshindwa kubadili hako ka kitu kanako sababisha mtu anakufa?
 
The rest muachie mungu mama 😊
 
Back
Top Bottom