Mwanaume utajisikiaje ukifuma meseji ya mkeo,anamwambia mchepuko wake "leo nataka unifaki mpaka nibreed"
Naam ni mazungumzo ya usiku hapa mtaani kwetu Usiku wa Manane
Guys nitakuwa nachapisha baadhi ya matukio ya wanaume wenzetu ili kuweka ufahamu kwa jamii yetu juu ya swala zima la mahusiano na mapenzi na ndoa. Ni kwa kiasi gani ujiulize mara mbili kabla hujawekeza zaidi kwa huyo mwenza ulio nae, je is she royal to me? Je anastahili kufanyiwa haya ninayo taka kumfanyia au she is just another gold digger?
Tuanzie pale kwenye heading yangu,here is the story
Jamaa alikuwa na demu wake kwa miaka mingi tu,so hivi karibuni wakaamua kufunga ndoa,jamaa yupo vizur sana kiuchumi
Kamjengea mkewe nyumba,kamfungulia hotel,anamsaidia shemeji yake mambo ya kazi na kubwa kuliko yote,hivi karibu alishamwaga materials za ujenzi kwa wakwe zake
From Kenya to Zanzibar
Kabla ya kuoa,jamaa alimchukua baby mama hadi Zanzibar kwenda kupata marashi ya karafuu
Wakiwa huko walikula good time na kufurahia maisha yao,ndio ile funja mifupa kama meno ipo
By the time madhambi yamegundulika ni kwamba ndoa ina umri wa kama wiki tatu hivi,yes wiki tatu!
Wazee wa Comrades fkavour wana code zao hizo,ambazo hata kama umefuta meseji zote,kuna code wakiziweka basi zote zinapatikana
Ile kupekua simu ya mke,ndio mambo yakawa hadharani,kumbe wakiwa Zanzibar na mwamba ,bado aliwasiliana na mchepuko wake na kumwambia "Pamoja na kwamba natarajia kufunga ndoa 24 August lakini Mimi nipo connected na wewe emotionally yani hatuwezi kuachana until death do as apert"
Kama haitoshi ikakutwa meseji inahusiana na mke kumpangishia mchepuko wake hostel,dah halafu kumbuka hiyo hela mke anapewa na mume wake halafu yeye anamhonga mchepuko wake
Mchepuko wa mke unafanya mazoezi gym flani hivi,mke nae kumbe alishaanza mipango ya kumuomba mumewe alimpie gym husika kumbe ili awe pamoja huko na mchepuko wake
Sasa kubwa kuliko kuna meseji kutoka kwa mke anamwambia mchepuko wake "Jana sex kwa bed haikuwa nzuri sana,yani leo nataka unifaki mpaka nibreed "
Je,mwanaume mwenzangu imekaaje hiyo? Halafu unashindwa kuwatumia wazazi wako hela ya matumizi au unashindwa kuwasaidia wadogo zako shida zao,kisa huyo mwanamke uliye naye ambaye analiwa kizembe na mwanaume mwingine
Wanaume sikatai kumgharamia mkeo au mwenza wako,lakini je ni mtu sahihi wa kufanyiwa hayo? Think big!
Hapa chini kuna video moja nitapenda uicheki,huyu jamaa last time alikuwa na demu,walimhoji pamoja na demu wake,na demu kupekuliwa simu yake ndio wale wale wapigaji,utaona kidogo akiwa amevaa suti nyekundu jinsi tukio lilivyokuwa
Maana jamaa ni mtu wa suti tu,sasa Mungu sio Othman,akakutana na kikosi cha Comrades flavour tena,akajitapa kwamba this time kapata mwanamke wa maana, na bla bla kibao
Ikapigwa test tena ya uaminifu,kupekuliwa simu mwanamke akakutwa mpigaji,jamaa hakuamini macho yake,ikabidi amuulize mtangazaji "HIVI WANAWAKE WANATAKA NINI HASA?
Chungulia hiyo video mwenyewe ujionee uhondo
View: https://youtu.be/0KHYOhWCldE?si=GG8FApQkL0vblOkb
Wanaume before you spend your money to a woman,jiulize je anastahili haya ninayotaka kumfanyia?
Alamsiki!