Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,785
- 58,375
😂😂😂😂 Mkuu fata mbinu niliyokuambia... Unaweka kimoja huku kingine kule basi hapo unyama.Sheikh koyoga jau nilipomsimulia kaanza kucheka eti na wewe unaibiwa ? Ananipanga eti siku nyingine nipite kwa fundi viatu upande wa pili kule nimuachie viatu aendelee kubrashi na mimi nivae zile ndala zenye rangi tofauti nizame msikitini
Mambo ya kwenda kwa fundi NI kuaribu ratiba ya pesa
Sema pole sana aiseee mi nawajua watoto wa hapo wote ningekuepo basi mapema ungepata