MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,316
- 25,453
Mzee wangu usiku huu unatafuta nini duniani huku ?Aisee.
Mzee wangu usiku huu unatafuta nini duniani huku ?Aisee.
Swadakta kazia kule mwisho kabisa😅Kumbe.
😅😅😅 ka adopt tu kama ni hivi
hapana mkuu sina chama, ingawa napenda kuheshim mamlaka iliyopo.. ingawa wanasema siasa ndizo huamua hatima yetu mimi huwa napendelea kazi na jitihad zangu ziniamlie maisha yangu.Ni hatari mkuu ,kikubwa kupambana na mitikasi yako tu maana siasa ni hatati mno .
Wewe una chama mkuu ?
Hii nzuri kweli kweli ,ni kweli siasa ni maisha lakini haitakiwi iingilie mustakabali wa maisha binafsi ya mtu hasa kwenye kuupqmbania mkate wake wa kila siku .hapana mkuu sina chama, ingawa napenda kuheshim mamlaka iliyopo.. ingawa wanasema siasa ndizo huamua hatima yetu mimi huwa napendelea kazi na jitihad zangu ziniamlie maisha yangu.
hakika mwamba tupambane tu hakuna namna nyingine.. ila naona kuna code umeiweka hapa mwamba,Hii nzuri kweli kweli ,ni kweli siasa ni maisha lakini haitakiwi iingilie mustakabali wa maisha binafsi ya mtu hasa kwenye kuupqmbania mkate wake wa kila siku .
Mimi mwenyewe sina chama pia ,napambana tu mashambani ili watoto wasilale njaa
Hamna cha codehakika mwamba tupambane tu hakuna namna nyingine.. ila naona kuna code umeiweka hapa mwamba,
Weapons green0212 PKM Loaded....
pa1 mkuu ,ila kuwa makini mida hi na vibaka unavoludi mtaa.Hamna cha code
Nb:niko bar kaka nahisi kila kitu ni pombe tu hapa
Weapons green
Wilco .RTB to Alpha Base .Over0230 Pl Cmd, take cover, adv the troops RTB, Alpha Base. Do you copy
03:05 Take them off0301 Occupiers.
0317 loud and clear....03:05 Take them off
Copy that .Muzzle down .Over0352 Muzzle down