win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,403
- 35,308
nataka ule unene flani hivi sijui nisemaje,, japo saivi mi sio mwambamba ila nina mfupa mzito plus huu urefu sasa😆Mh sio nzuri kuwa mnene sana ila kama uko serious mbona njia za kuwa mnene ni nyingi na ni kugusa tu