Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 12,940
- 25,461
Dah kweli jana ulilala mapema sio mbaya lakini siku moja mojajana nimelala mapema, vipi upo nikupe ubuyu😄
Mwaga ubuyu 😂😂
Dah kweli jana ulilala mapema sio mbaya lakini siku moja mojajana nimelala mapema, vipi upo nikupe ubuyu😄
baadae mida ya wangaDah kweli jana ulilala mapema sio mbaya lakini siku moja moja
Mwaga ubuyu 😂😂
7:37Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
19:43HOURS7:37
Huyu Jenifer Lopez
Anakwambia
"Love don't cost a think"
Kuna mstari anasema hata ukiwa umechacha hatojali coz penzi lake halina gharama yoyote ile
View: https://youtu.be/4kGvlESGvbs?si=wCSy4wSr29wOTLG_
Hauko pekee yako ,enjoy uko kwenye zone salama mrembo0022 soooooo nipo pekeangu humu?😢
wow nimefurahi☺️Hauko pekee yako ,enjoy uko kwenye zone salama mrembo
Lete maneno sasa ? Usingizi umekata au uliukimbiza mchana ?wow nimefurahi☺️
sina stress kabisa, ila nimelala mchana mnoo ndo maan saivi nipo nahesabu makenchiLete maneno sasa ? Usingizi umekata au uliukimbiza mchana ?
Au full mastress ndugu yangu ?
Safi kabisa ,japo kulala sana mchana sio nzuri ,haukawii kunenepeanasina stress kabisa, ila nimelala mchana mnoo ndo maan saivi nipo nahesabu makenchi
mi napenda sana unene maana nimeishi kwenye wembamba miaka mingiSafi kabisa ,japo kulala sana mchana sio nzuri ,haukawii kunenepeana
Mh sio nzuri kuwa mnene sana ila kama uko serious mbona njia za kuwa mnene ni nyingi na ni kugusa tumi napenda sana unene maana nimeishi kwenye wembamba miaka mingi