JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Leo mimi na wake zangu wote 2 tunasherehe na baadhi ya majirani na ndugu,hatujalala tunakula na kunywa,kwa kumuaga mke wangu wa 2 ambae anarejea Marekani ambako ndio anaishi kwa sasa.Ni furaha kubwa mno,Mungu azidi kutupa furaha na amani
 
Back
Top Bottom