JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

weee kwahiyo huwa unani FUATILIA KWA UKARIBU SANA😀😀😀,,,

kiukweli mimi sinaga hard feelings napenda utani na ugomvi ila ugomvi usiwe kwangu😅😅
Yep huwa napenda nice people wenye vibe la kwenda,huwa nainjoy kukusoma ,maisha yenyewe mafupi hard feelings za nini

Ila hilo la kupenda ugomvi halafu usiwe kwako hiyo vipiii sasa😂😂😂
 
basi mi nawew tunaendana kabisa ert....

yani napenda mashengesha ya watu mfano ice agombane na mtu mi nakaa pembeni kama mtazamaji nikichukua notce😅😅 ila sipendi ule ugomvi mkubwa wa mapanga just kuchambana kwa utani nafurahi mnooo😄
 
Dah huwa napenda sana battles za wadau humu ndani,ila zisiwe za matusi,basi napiga kimya nafuatilia mtanange, kwangu buruuuudan kabisa🤣🤣
 
Back
Top Bottom