win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,110
- 31,037
basi pokea moyo wangu wa dhati😊KWELI KABISA
basi pokea moyo wangu wa dhati😊KWELI KABISA
Mlio wa MTU mzima je nao uhupendi?ndio, mi sipendi milio ya aina yoyote iwe mdudu au mnyama inaudhi mno
Nimeupokea kwa dhatibasi pokea moyo wangu wa dhati😊
Naupokea kwa dhati na Moyo mmojabasi pokea moyo wangu wa dhati😊
huo bado sijausikiaMlio wa MTU mzima je nao uhupendi?
vizuri sanaNaupokea kwa dhati na Moyo mmoja
Hujataka kuusikiahuo bado sijausikia
Apana apo unafananisha mimba na kitambisamahani hivi wew na I feel good ni ndugu? naonaga kama mnaelekea kufanana kwenye maandishi pamoja na pic ya avatar
sa nitausikilizia wapi?Hujataka kuusikia
Kwangu au ? 😆sa nitausikilizia wapi?
ukiwa unamaanisha nini? alf unijibu taratibu plzzz kama hautaki basi ukae kimyaApana apo unafananisha mimba na kitambi
hebu utoe huo mlio niuskie😄Kwangu au ? 😆
Hahahahaukiwa unamaanisha nini? alf unijibu taratibu plzzz kama hautaki basi ukae kimya
Wataamka watuhebu utoe huo mlio niuskie😄
Kwan nimekujibu kwa nguvu au izo kelele za paka zinakuogopeshaukiwa unamaanisha nini? alf unijibu taratibu plzzz kama hautaki basi ukae kimya
ndio umenijibu kwa hasira yani sijui niiwekeje, ila nimekuelewaKwan nimekujibu kwa nguvu au izo kelele za paka zinakuogopesha
oooh basi tusubiri waamke alf ndo uitoe au unasemajeWataamka watu
Apan siwezi kujibu kwa hasira Kam ulivo fikiria🥺🥺ndio umenijibu kwa hasira yani sijui niiwekeje, ila nimekuelewa
Hahahaha,hapo ndio noma zaidioooh basi tusubiri waamke alf ndo uitoe au unasemaje