JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

kwanza unaamka unaenda wapi
Miaka ya hapo nyuma mama yangu alikua ananiambia mwanangu ukikua usingizi kwako utakua sio wa maana kama unavo uona saizi kipindi hicho nlikua napenda kulala sana.

The prophecy has been full filled majukumu yananikimbiza, yanafanya nione kulala ni kama anasa😂, saiz nimekaa tu hapa nasubiri majira yasogee utu uzima dawa sana 😂.
 
mama alikua sahihi ila huwezi amini mi nikizidiwa na majukumu naamua kulala tu maana sina namna kwahiyo naona bora nilale zangu 😅 ila sijawahi kuwa na majukumu makuuuuubwa ya kutisha
 
Back
Top Bottom