verify
JF-Expert Member
- Dec 31, 2024
- 1,264
- 2,987
Hau-skip ratiba lazma ratiba ya kulala utimize 😂😂mama alikua sahihi ila huwezi amini mi nikizidiwa na majukumu naamua kulala tu maana sina namna kwahiyo naona bora nilale zangu 😅 ila sijawahi kuwa na majukumu makuuuuubwa ya kutisha