herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 2,303
- 3,987
😇 asante nilikua nishaanza kuogopaApan siwezi kujibu kwa hasira Kam ulivo fikiria🥺🥺
Pole jamankiukweli nawaza kunywa hii sawa ya malaria leo ndo dose ya mwisho sijui nifanyaje ili ipite hapa kooni 0152+
Kunywa nn, ulikua unaumwa? Kumbe ningekuja ningekosa kampani ya kunywakiukweli nawaza kunywa hii sawa ya malaria leo ndo dose ya mwisho sijui nifanyaje ili ipite hapa kooni 0152+
Welcome1 August 2026
ok nambie tunafanyajeHahahaha,hapo ndio noma zaidi
Tukae pembeni TU au?ok nambie tunafanyaje
dawa, hapana ningefanya ku skip tu siku moja sio mbayaKunywa nn, ulikua unaumwa? Kumbe ningekuja ningekosa kampani ya kunywa
Ondoa shaka dumbukiza Imani...😇 asante nilikua nishaanza kuogopa
bado sijaelewaTukae pembeni TU au?
Aagh usifanye hivyo, Unaeza zidiwa Bestdawa, hapana ningefanya ku skip tu siku moja sio mbaya
naidumbukizaje sasa😑Ondoa shaka dumbukiza Imani...
kuzidiwa na nini?Aagh usifanye hivyo, Unaeza zidiwa Best
Hahahaha nitakuelewesha bestbado sijaelewa
Kama unaumwa , halafu ukaweka vyombo ,si unaeza zidiwa aukuzidiwa na nini?
Kitaalamunaidumbukizaje sasa😑
hapan si kweli inategemeana na ugonjwaKama unaumwa , halafu ukaweka vyombo ,si unaeza zidiwa au
Aisee.huu ni mwezi mpya natamani sana sana Mungu asikie maombi yangu na anijibu kama niombavyo ila ndo hivyo tena😔
saa nane kasoro 1 na nusu