win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,110
- 31,037
nini hiyo kwanzaKitaalamu
nini hiyo kwanzaKitaalamu
Unaomba Nini Rafiki, usikute unaniomba Mimi niwe wako,na nipo hapahuu ni mwezi mpya natamani sana sana Mungu asikie maombi yangu na anijibu kama niombavyo ila ndo hivyo tena😔
saa nane kasoro 1 na nusu
shkamoo ka mkubwa😊Aisee.
Unazingua.shkamoo ka mkubwa😊
Ok sawa,Nini kinakusumbua ,tukiwekee Kilimanjaro juuhapan si kweli inategemeana na ugonjwa
Hahahaha 🤣Unazingua.
nimechekaaaaa,,, ni vingi ila cha muhimu zaidi ni kazi tu nibadilishe maisha yangu,, kuna mahali natamani kufikaUnaomba Nini Rafiki, usikute unaniomba Mimi niwe wako,na nipo hapa
kwani haujanizoea na wew aaah😏Unazingua.
Acha maringo nikuvute huku tubebe Box.nimechekaaaaa,,, ni vingi ila cha muhimu zaidi ni kazi tu nibadilishe maisha yangu,, kuna mahali natamani kufika
Oooh sawanimechekaaaaa,,, ni vingi ila cha muhimu zaidi ni kazi tu nibadilishe maisha yangu,, kuna mahali natamani kufika
malariaOk sawa,Nini kinakusumbua ,tukiwekee Kilimanjaro juu
👀👀nini hiyo kwanza
Pole sanamalaria
maringo sina, fanya kweli basi sito kuangusha 🤗 yani utajivunia mimiAcha maringo nikuvute huku tubebe Box.
nishapoa rafikiPole sana
Ukiona sehemu uliyopo mambo hayaendi,maringo sina, fanya kweli basi sito kuangusha 🤗 yani utajivunia mimi
Hahahaha,fursa hiyo usiiiachemaringo sina, fanya kweli basi sito kuangusha 🤗 yani utajivunia mimi
Usisahau kumeza dawa