mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,804
Uzuri umejisalimisha mwenyewe🌚pole lakini saiv si ushaachilia? au bado umemind
Uzuri umejisalimisha mwenyewe🌚pole lakini saiv si ushaachilia? au bado umemind
nyauuu😅😅,,Uzuri umejisalimisha mwenyewe🌚
Mbn mapema, nilikua nafuatilia story nzurinyauuu😅😅,,
uwe na wakati mwema mi nasinzia zangu
Anza na mmoja kwanzaaNitafute sasa mama lishe mtaani ata wawili niwapende lasivyo mji utanishinda huu
Hapana lazima nipate uhakika kula milo mitatu kwa sikuAnza na mmoja kwanzaa
Ahaaa ila kumbuka n yeye anategemewaHapana lazima nipate uhakika kula milo mitatu kwa siku
Sio jukumu langu bwasheeAhaaa ila kumbuka n yeye anategemewa
Kazi ni kipimo cha utuAaah! Hizi kazi hizi dah,,, zitatuua!
Toroka uje tu utapata kazi nyingineAaah! Hizi kazi hizi dah,,, zitatuua!
Wapi hapo mkuu.Toroka uje tu utapata kazi nyingine
Tangu lini mkuu?Kazi ni kipimo cha utu
Mbona nilikupa…mmegombana tena?