win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,158
- 31,237
siko sawa kivipi? nime changanyikiwa auNiko poa kabisa, hofu kwako maana unaonekana hauko sawa kabisa.
Najua basi, jicho la rohoni linanionesha tu🙂siko sawa kivipi? nime changanyikiwa au
noop mi niko sawa qabisaNajua basi, jicho la rohoni linanionesha tu🙂
Kuna kitu kinaniambia unadanganya.noop mi niko sawa qabisa
sogeza bega niegemee nilie kidogoKuna kitu kinaniambia unadanganya.
Jamani Winnie ukilia nami nitalia.sogeza bega niegemee nilie kidogo
kitakacho kuliza ni kipi sasa😅 alf hilo jina la winnie silipendi kwa kweli niite winy inatoshaJamani Winnie ukilia nami nitalia.
Ulie kwanini sasa?
Nimekuja
karibuNimekuja
Merci beaucoup 🙏😘karibu
Kwahiyo mfano mimi nikilia wewe hautoumia?kitakacho kuliza ni kipi sasa😅
inategemeana na kinacho kuliza😅Kwahiyo mfano mimi nikilia wewe hautoumia?
Dah, sasa utanifanya nilie kiukweli ukweli.inategemeana na kinacho kuliza😅
sikua na mpango wa kucheka ujue😅😅 hebu lia tuoneDah, sasa utanifanya nilie kiukweli ukweli.
Kunibembeleza utaweza?🌚sikua na mpango wa kucheka ujue😅😅 hebu lia tuone