win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,469
- 35,448
nitajaribušKunibembeleza utaweza?š
alafu nimekumbuka kitu
nitajaribušKunibembeleza utaweza?š
Enhe, kitu gani hicho?nitajaribuš
alafu nimekumbuka kitu
Eeehadui yako hatoki mbali wanetu msisahau hilo 0015
ndioEeeh
Ila wewe mchokozi weweš¤£ushamaliza kusoma? tuliwahi kupeana ahadi za kuja mbeya kwenye mahafariš¤š ila naamini ushasahau
kilicho kukimbiza ni kipi au ulichoka maparachichišššIla wewe mchokozi weweš¤£
Nilikimbia mbio mbio sikutaka kubaki kule kabisa.
Unaweza ukanipongeza tu hamna shidaš
Ningebaki kule ungenifuata kwenye lile vumbi?kilicho kukimbiza ni kipi au ulichoka maparachichiššš
sa uchokozi upo wapi hapo jamaniš¤
aku ishapita hivyo siwezi tenaš
eti poda" nimechekaš š mi nishawahi kukaa tukuyu kidogo ila nilikuaga sizunguki mitaani sanaNingebaki kule ungenifuata kwenye lile vumbi?
Kuna vumbi hilo wakazi wanaliita "poda".
Rafiki gani, rafiki ndo kuitana "katoto"?eti poda" nimechekaš š mi nishawahi kukaa tukuyu kidogo ila nilikuaga sizunguki mitaani sana
ndio ningekufuata Kwani nini maana ya urafiki"?
we ndo ulianza kuniita mshangazi sa ulitaka mi nikuite vipiš¤£š¤£Rafiki gani, rafiki ndo kuitana "katoto"?
Yaani nilimaindi kweli kweli.we ndo ulianza kuniita mshangazi sa ulitaka mi nikuite vipiš¤£š¤£
pole lakini saiv si ushaachilia? au bado umemindYaani nilimaindi kweli kweli.