Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,364
- 85,525
MkuušHuyo oogo nimetoka nae mbali sana, alafu hood moja
MkuušHuyo oogo nimetoka nae mbali sana, alafu hood moja
Kijana huyo umemuweka "under arrest" katulia tuliš¤£Usename sijabadili.. I'd ya back up ni Raine Col. Basi ogopa tapeli
Loud and clear, ndio maana nakupenda umenyooka sanaUsename sijabadili.. I'd ya back up ni Raine Col. Basi ogopa tapeli
Mnaleta michezo..Nashuka hili Bus..ngoja nisubiri la sa nane wakuušKijana huyo umemuweka "under arrest" katulia tuliš¤£
Umeonaa eeh, wazee wa ngumu sana hao. Bado method man.Pacha wangu (fraternal) Yani ni Odb mtupu š¤£š¤£š¤£ ndio alifanya nikawajua Hawa..
Au nna kasoro?š„²Mnaleta michezo..Nashuka hili Bus..ngoja nisubiri la sa nane wakuuš
Kitanda nakiona chamoto, nahisi nina allergy ya usingizi.Mkuuš
Kwahiyo umekaa wapišKitanda nakiona chamoto, nahisi nina allergy ya usingizi.
Nimekaa kitandani tu ila nikama nimelalia misumariKwahiyo umekaa wapiš
Umekosea uzi mzee.pole sana mdau
Weka simu pembeni utalala tu! Mimi tangu saa nne nimeingia chumbani nilale, kushika simu mara ya mwisho tu kosa!nimekolea na umbea wa gsm wa katorošNimekaa kitandani tu ila nikama nimelalia misumari
Yaani huko mbeleni kutakuwa na tiba ya kuacha simu.Weka simu pembeni utalala tu! Mimi tangu saa nne nimeingia chumbani nilale, kushika simu mara ya mwisho tu kosa!nimekolea na umbea wa gsm wa katoroš
Kabisa! Maana ukiingia jf unashtukia masaa manne yamekata unasoma tuYaani huko mbeleni kutakuwa na tiba ya kuacha simu.
kwaniniUmekosea uzi mzee.
Umetoa pole, pole hiyo ni ya nani?kwanini
mi hata sijui kwa kweli itakua imejipostUmetoa pole, pole hiyo ni ya nani?
Niko poa kabisa, hofu kwako maana unaonekana hauko sawa kabisa.mi hata sijui kwa kweli itakua imejipost
enwei uko poa?