JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mimi sishindi humu kweli lakini najua kusoma Haiba za watu. Kama mtapuuzia sawa pia lakini mna kitu kizuri kati yenu, mna bond flani hivi nzuri.

Lakini isiwe kesi kama mioyo yenu bado haijaamua
Umenishangaza sana mkuu😂

Ule utani tu kaandika sehemu kuhusu mshangazi wake wanaitana babaangu namimi ndio nikapitia mlemle🤭
 
Chap chap najua nachosikiliza Mimi nyie hamsikilizi 🙂‍↕️ Kanisikilizeni Reunited- Wu tang, niliweka intro yangu hapo Ms Roxy..🤣🤣
Its wuuu mthffkeeeer
Wu Tang mthfkeeeeeer
Fake P bwana, mara nyingi hata sikuelewi napenda vibe lako tu.

Na siku hizi naona umekuwa shapeshifter! By day one form, by night another. Unabadili usernames tu.🙂

Haya kijana wetu huyo wa uchagani kakuelewa.
 
Back
Top Bottom