JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Sorry asee, nilijua tayari couple😆
mdogo wangu huyu wa mbali sana! namrefer kwenye maneno yake mazuri tu kanikosha usiku wa leo!kwa kifupi yuko vizuri 😎
"mumamaz" ni balaa.

Kijana unashughulika, ukianza kuhema unawekewa "nyonyoz" mdomoni unyamaze.

Unakumbatiwa, cuddles za kutosha, unarudi utotoni yaani.
😎:peepoSit:
 
Dooh! hapana aisee kijana ana koloni lake tayari tayari huko, na anajua mi na ye hatutaezana!
Kuwezana mnawezana sana, labda issue iwe hilo koloni lake. Kama akisema anachana nalo hapo vipi?

Roho inaniuma sana kuona watu wawiwli ambao wanaendana alafu wanashindwa kuwa couple. Daah huwa inaniuma sana😭jaribuni, ikishindikana basi haijapangwa iwe
 
Dah aliache aende wapi? mkuu hatujawahi kuwa hata na hilo wazo, tuna heshimiana sana! au umelewa, we huwa hushindi humu umetoa wapi hayo mawazo ya kuwa tunaendana?😂
 
Dah aliache aende wapi? mkuu hatujawahi kuwa hata na hilo wazo, tuna heshimiana sana! au umelewa, we huwa hushindi humu umetoa wapi hayo mawazo ya kuwa tunaendana?😂
Mimi sishindi humu kweli lakini najua kusoma Haiba za watu. Kama mtapuuzia sawa pia lakini mna kitu kizuri kati yenu, mna bond flani hivi nzuri.

Lakini isiwe kesi kama mioyo yenu bado haijaamua
 
Noti vs. Sarafu: Ishi Kimya Kimya, Acha Thamani Inene​

Watu wangu, hebu tuwe kama hela za noti.

Huwa hazipigi kelele kabisa... unajua kwanini?

Kwasababu zinajua thamani yake. Vitu vyenye hadhi havihitaji kujipigia debe; vinajulikana vyenyewe.

  • Piga kimya, tuliza mzuka: Ishi maisha yako 'low key'. Haijalishi umebarikiwa kiasi gani, hayo ni maisha yako binafsi. Hutakiwi kuweka spika barabarani kujitangaza. Watu wenyewe watashuhudia tu na kusema: "Mwanangu, jirani siku hizi katulia na kapendeza sana."

  • Usiwe kama sarafu (coins).

    Hata zikiwa ndani ya mfuko wa suruali au pochi, lazima utazisikia zikipigana kelele. Unajua kwanini? Kwasababu thamani yake ni ndogo, kwahiyo zinapiga kelele ili tu watu wajue kuwa na zenyewe zipo kwenye mjengo.

    Kama unajitambua na una akili timamu, acha tabia ya kujikuza, kujikweza, au kujiona wa maana sana kuliko wengine. Mwenye hadhi ya juu na thamani ya kweli huwa anasomeka tu, hata asipofungua mdomo.​

  • Ukiwa mtu wa kutafuta kiki na sifa za kijinga, unakuwa huna tofauti na sarafu—kelele masaa 24 ili tu usikike.
  • Mwanangu, kuwa kama noti.
  • Tulia tuli kama maji ya mtungi, huku ukiwa umebeba thamani yako ya nguvu.

Alamsik!
 
Back
Top Bottom