JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Namdekea nani kwanza? Usinichekeshe 🤣 sasa ukisema mimi wa maombi, story zangu za bangi na gambe utaziweka wapi? Mshamba ni ngumu sana kumjua mtu vizuri labda uishie ku guess tu..!
Hauna wa kumdekea kwani? Eti?🌚

bangi na gambe ni masuala ya kidunia tu hayazuii imani

Pia wewe ni kafupi na utakuwa unaongea kama chiriku ukiwa mazingira rafiki.
 
Hauna wa kumdekea kwani? Eti?🌚
Hahaa namdekeaje kwanza! Kuhusu nini yani..!
bangi na gambe ni masuala ya kidunia tu hayazuii imani
Tunakatazwa lakini..
Pia wewe ni kafupi na utakuwa unaongea kama chiriku ukiwa mazingira rafiki.
Hehehe! Umenikumbusha kuna siku niliandika sehemu mimi ni kafupi halafu keusii ti akili fupi wakapita nayo! Unanikadiria sana! Naongea kama chiriku nikiwa wapi sasa? Kwanza sina circle inayoongea kama chiriku so naongea na nani? Na mie siongeagi especially sehemu ya watu watu na kama sikujui! Kiufupi siko katika mazingira ya kuongea ka mwendawazimu!
 
Hahaa namdekeaje kwanza! Kuhusu nini yani..!

Tunakatazwa lakini..

Hehehe! Umenikumbusha kuna siku niliandika sehemu mimi ni kafupi halafu keusii ti akili fupi wakapita nayo! Unanikadiria sana! Naongea kama chiriku nikiwa wapi sasa? Kwanza sina circle inayoongea kama chiriku so naongea na nani? Na mie siongeagi especially sehemu ya watu watu na kama sikujui! Kiufupi siko katika mazingira ya kuongea ka mwendawazimu!
Utakubali sasa?

Kwahiyo upoje sasa hebu niambie...
 
Nakuogopa?
Labda unaficha u-gangster wako.
Issue sio mimi nikoje, unatakiwa uamini kuna vitu vichache sana mtu akiandika vina-relate na uhalisia wa mtu ambaye hajajifunua! Mimi nianze hapa kukukadiria we mnene mfupi kwa mwandiko tu na sijawahi kukuona!
Hamna bwana, kuna vitu mtu anaandika kutoka moyoni ukisoma unaona kabisa.
 
Labda unaficha u-gangster wako.
Khee! Ili nini labda😆
Hamna bwana, kuna vitu mtu anaandika kutoka moyoni ukisoma unaona kabisa.
Yeah ni kweli kabisa! Basi chagua mazuri ya huyo mtu pia, achana na udhaifu tu, sjui unaongea kama chiriku.. kuna mambo mengi ya kujifunza kutoka kwa mtu! Negativity haitakusaidia kitu!
 
Khee! Ili nini labda😆
Yeah ni kweli kabisa! Basi chagua mazuri ya huyo mtu pia, achana na udhaifu tu, sjui unaongea kama chiriku.. kuna mambo mengi ya kujifunza kutoka kwa mtu! Negativity haitakusaidia kitu!
Jamani kwahiyo kusema tu unaongea kama chiriku ni negativity?

Uchangamfu ni sifa nzuri.

Ningesema una sura ya baba je?🌚
 
Back
Top Bottom