JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Matusi hayajengi, msipende matusi.

Inahitaji hekima kubwa na werevu kutokutusi. Kila mmoja wetu anayafahamu matusi ila kujizuia kuyatamka ni kipimo cha utashi komavu.
Kwakweli mimi mtanisamehe, nilikuwa situkani ila nimeona yananisaidia sana! Sikuhizi hata kudhalilishwa kumepungua! Nyinyi wenye heshima zenu humu msitukane tu!
 
1. Maandishi ni mazungumzo, unaweza kumkwaza mtu kwa maandishi.

2. Anayetukana hudhalilika pia, mara nyingine kuliko hata anayetukanwa.

3. JF ni jukwaaa na lina sheria.

Mtu kama mimi nina heshima gani? Kutwa nafanya mizaha tu humu ndani. Ni vyema kuheshimu watu.

Nipe mfano wa aliyekudhalilisha mpaka ukajihisi vibaya...
 
Uko sahihi, na usifikiri kama wote hatulimbui hili! Hakuna mtu anayependa kuzozana na mtu bila sababu inafikia mahala unachoka kama binadamu!

And, am not in position to mention any confused specie, especially at this calm moment! Nahitaji peace of mind!
 
Wakorofi kama nyie ndo mnafaa kesho mtoke nje mkakiwashe.
 
Back
Top Bottom