JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Safi sana! Basi usiwachekee hao wadudu siwapendi! wanang’ang’aniaga ndani kama mnalipa wote kodi! Nina rafiki yangu wamemsumbua sana mpaka anataka kutupa kitanda!
Sio mahali permanent ni pa siku chache , na sio kambi yao huyu mmoja tu alipotea njia nikamdaka.

Wale mziki wake mzito , siwezi kulala sehemu yenye wale wadudu Bora mtu ulale chini
 
Sema humu raha sana imagine haujibu text za watu wanajua umelala kumbe unakesha na stress zako jeihefuu😂

Never settle for minimum😎
 
Back
Top Bottom