JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nimepunguza kula sukari, hapa nimeacha kula processed sugar, namalizia tu cake yangu then am done with sugar 😌 nimebakisha wanga kiasii ila hii week sigusi!

Nimekunywa kahawa na malimao week nzima nimepunguza mafuta kwa kiasi chake🤸🏽‍♀️
This week no wanga no beer no nothing!

Kesho nina mlo wa kukata kilo kwa siku 3! Nitawapa mrejesho mnaopenda haya mambo😍
 
Nimepunguza kula sukari, hapa nimeacha kula processed sugar, namalizia tu cake yangu then am done with sugar 😌 nimebakisha wanga kiasii ila hii week sigusi! Nimekunywa kahawa na malimao week nzima nimepunguza mafuta kwa kiasi chake🤸🏽‍♀️
This week no wanga no beer no nothing!

Kesho nina mlo wa kukata kilo kwa siku 3! Nitawapa mrejesho mnaopenda haya mambo😍
Hiyo siyo solution madhubuti
 
Back
Top Bottom