Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 19,986
- 41,260
Ikifika saa 12 huwa nashikwaga na usingizi mzito wa maluweluwe
Huu muda ni kwamba woote walioshiriki shughuli za usiku wanatakiwa kulala hata wanga pia kwisha kaziIkifika saa 12 huwa nashikwaga na usingizi mzito wa maluweluwe
Haaahaa sikulijua Hilo kablaHuu muda ni kwamba woote walioshiriki shughuli za usiku wanatakiwa kulala hata wanga pia kwisha kazi
Unalinda gesti house Kama Mimi?Kumekucha 01:04 nipo lindo
Shida zina mwisho mkuu, kikubwa kupambana.Ni shida tu life hili ,mapenzi yatutese , pesa itutese ,nchi itutese aloo ,usingiz umegoma kabisa manina
Shida nini kakaSikiliza tu music kama navyosikiliza mie ila qmmaq hapana aisee acha kesho nikachome tu maini
Game gumu tu familia ziko mbali tunazipambania ila heshima hakunaShida nini kaka